Dereva wa Uber/Bolt (natafuta gari)

Ochu255

New Member
Joined
Aug 18, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Habari zenu ndugu zangu,

Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni yenye madaraja yanayoruhusu kufanya biashara ya uber/bolt, ninahitaji gari ili tufanye biashara na mmiliki wa gari kwa uaminifu na ushirikiano gari ilo liwe la mkataba au hesabu mimi niko tayari🙏🏾.

Namba yangu ni 0789448885
 
uko wapi mkuu?
 
Natumae mleta mada ulipata muongozo...
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…