Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

fbullet

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
65
Reaction score
64
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712

Gari iwe sienta, ractis, spacio, wish, raum, vitz au ist
 
Kwa lugha hiyo tumishi tu unaonekana una matatizo!
 
Hapana tatizo huja mtu ama gari ambalo sio la biashara halafu pindi ukikamatwa na wale wakamataji anakugeuka na kukulaumu unakuwa unafanya kazi kwa hofu muda wote kwa hyo ni bora nimekuwa straight kuliko kukaa kimya coz anaeteseka ni mimi sio mwenye gari
 
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712

Gari iwe sienta, ractis, spacio, wish, raum, vitz au ist
Atakayekupa gari lake kupitia tangazo hili hawezi kuwa mtu makini.
 
Back
Top Bottom