Dereva wa Uber na Bolt natafuta kazi

Dereva wa Uber na Bolt natafuta kazi

Naitwa Nicholous mkazi wa daresalaam tabata natafuta gari kwa ajili ya biashara ya uber na bolt, mimi ni dereva mzoefu na mwaminifu natafuta gari iwe ya mkataba au hesabu nachukua, kwa yeyote mweny hyo connection au mmiliki mwenyew naomba tuwasiliane kupitia
0622570507, 0657715052 au email me mdullanicholous@yahoo.com.
 
Kodisha account uwe unapata hata pesa ya chai tu kwanza huku unasikilizia mambo zingine
 
Habari zenu!

Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Temeke Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom