Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Wakuu, kuna dereva wangu amegonga mtu kaua mmoja na kujeruhi mmoja, sasa huyu dereva kasepa na kunachia msala, nilipoenda polisi askari alinambia nipeleke leseni ya dereva nisipopeleka watanipeleka Mimi mahakaman, nimefanya mchakato nikapeleka copy ya leseni ya dereva pamoja na vitu vingine walivyotaka, lakin bado wananiuliza dereva na bado wanasema asipopatikana napelekwa mie, na mimi sijui dereva ntamtoa wapi. Je sheria inasemaje kuhusu hilo?
Na je ni kweli bima kufanya kazi kwa waathiriwa ni mpaka dereva apatikane na ahukumiwe?
Na je ni kweli bima kufanya kazi kwa waathiriwa ni mpaka dereva apatikane na ahukumiwe?