Dereva wangu!

Nahisi kama huyo dereva sio mgeni kwangu....! Naona kama nilishawahi kumtumia dereva huyo kwa kipindi cha miaka miwili hivi....! Asili yake ni Kondoa na anaishi mjini Arusha, ni mfupi kiasi na ni mweupe kiasi fulani pia....! Hata hivyo yuko charming na anajua kazi yake kweli.....!
 
Mhh we konakali ndo nini kumchambua dereva wa watu hapa!!akaa
 
Mwambie mwende Loliondo kwa babu umsikie atakavyochomoa na hata kama unampa Milioni sidhani kama atakubali, atajua yatamtokea kama ya yule mzee wa general Tyre kama ameyasikia!!!!
 
Mkuu, Kondoa umepata ila habari ya Arusha siijui.. almost ni kama unamfahamu vile.. Bonge la driver nataka nimchukue jumla jumla
 
Kwani huwa anaenda kunawa nini? Kama mikono huyo ni mfuasi mzuri wa lile tangazo la mikono yenye afya radioni. Kama ananawa kingine.....mi chijui bana.......!
 
Kwani huwa anaenda kunawa nini? Kama mikono huyo ni mfuasi mzuri wa lile tangazo la mikono yenye afya radioni. Kama ananawa kingine.....mi chijui bana.......!

ananawa vyote!
 
Mhh we konakali ndo nini kumchambua dereva wa watu hapa!!akaa
Ni kwa msaada tu kama atahitaji ushauri zaidi.....! Si kwa mabaya, bali ni kwa mema zaidi....!

Mwambie mwende Loliondo kwa babu umsikie atakavyochomoa na hata kama unampa Milioni sidhani kama atakubali, atajua yatamtokea kama ya yule mzee wa general Tyre kama ameyasikia!!!!
Hapo kwenye red, ni yapi mkuu....? Tudadavulie nasi tuwe makini na hayo....!

Mkuu, Kondoa umepata ila habari ya Arusha siijui.. almost ni kama unamfahamu vile.. Bonge la driver nataka nimchukue jumla jumla
Mkuu inawezekana madereva kufanana pia.....! Kwa hiyo sio lazima niapatie kote...! Aidha, waweza kumchukua mazima, and all the best mkuu....!

Sweetdada, Konakali Ananitisha!
Wala usitishike mkuu, maana uwanja ni wako na uwe huru kabisa.....!
 
Kaka anajua kuendesha! We hujawahi kutana na dereva wa hivi?
Sasa si ndo Fresh, we ulitaka Dereva amabaye hanawi kila Baada ya Kituo!!!???atakuwa Mchafu huyo na Kama ni mie nashuka fastaaa, si unajua Madereva wanakuwaga na Oil flan hv na hulowaga sana baada ya Kila kituo...Nipe mie huyo Dereva wako
 
:car:....napita tu...kuelekea kwa them biaz....
 
Elia we cha msingi akishuka kunaw kituo kimoja hama kiti kaa pale kwake halafu unganisha vituo hadi safari ifike mwisho.
 
Attn:Elia,
wengine humu ndani ni under 17
 
Huyo dereva inabidi arudi darasani akaupdate ujuzi wake.
Huko kushuka kila kituo sijui anaogopa traffic police.
 
Mwambie mwende Loliondo kwa babu umsikie atakavyochomoa na hata kama unampa Milioni sidhani kama atakubali, atajua yatamtokea kama ya yule mzee wa general Tyre kama ameyasikia!!!!

Search Thread "Kama Mchawi usiende Loliondo"
 
HONGERA SAAAAANA KSB UMEPATA DRIVER MSAFI SAAAANA ,,NI NADRA KUPATA DRIVER MSAFI KAMA HUYO ,,ENDELEA NAYE MKUU TENA USIMWACHIE, MPENDE,MLINDE,MTHAMINI ZAIDI..........da i wish i could have-------.........manake ma driver wengine uchafu nje nje usipokuwa makin fungus inaweza ikawa sehemu ya pumzi.,,,ha ha ha ha h........narudia tena HONGERA SANA KWA KUPATA DRIVER MSAFI ANAJITAMBUA NA ANAJITHAMINI,,,,,,HAKUNA MSAFI MBAYA.....
 
Hata kwenye ziara za rais huwa tunaweka kwenye ratiba tukio la kunawa mikono ili kupunguza makali. Inawezekana akatumia fursa hiyo kukojoa au kunya.
 
Jaribu kuonana nae kwenye chumba ambacho sio self, alafu mnunulie kitambaa dizaini ya taulo kwa akiba ili akikosa maji ya kunawa au kuona uvivu kutoka toka nje kwenda kunawa atumie hilo taulo istead
 
Kwan dereva mwenyewe ni wa corola,benzi,staleti au fuso? .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…