Dereva wangu!

Wewe mtoa thread hivi una undugu na "Magulumangu"? Maana hili tafsida kiboko!
Hata hivyo ndugu usafi wa aina hiyo barabara za uswahilini ni mgumu, si unajuwa tena....
 
Usiogope Elia we mzoee tu mwisho na wewe utazoea. . Kuna wadada wengine kama unaendesha gari bila ngao likifika kituoni linamwaga oil nyingi wanapata kinyaa. Quantity ya Oil pia inachangia. Nimependa umetumia fasihi fichilizi, tafsida, tashtwitwi na hadhira komavu tumekuelewa.
 
ELIA yaonekana wewe ni mstaarabu saana jinsi ulivyowakilisha hii kitu nimeipenda saaaana hakuna lugha mbaya mbaya na za kudhalilisha. mmmh!!!! kuna dada mmoja mama huruma flani hivi na yeye ana tabia km hizooo wale waliopita hapo wanasema ndo zake hizo yupo kampuni moja ya simu mnene hivi mwenye sura nzuri tehe tehe
 
Safari zinamisukosuko mingi bwana,saa zingine unalazimika kushuka chini kukanyaga vitu vingi huko chini,sometimes oil ina leak,vumbi na kama hakuna AC jasho kwa hiyo usafi wa dereva ni muhimu asije akamkera abiria wake siku nyingine gari lake likakimbiwa.
 

Huyo ndo mzuri anatoa uchovu na usingizi badilisha dereva uone kama hajagongesha upande wako na kukuletea maafa
 
Ukipanda daladala usipompenda dereva si unapanda lingine? unataka bkubadili dereva kwa hela ya kukodi? Hukutafakari kabla ya kuweka wazo hili jamvini. Ungenunua gani ndo ungesema jamani nimenunua ile gari vipi nimchukua na dereva wake tungekuelewa na tungekupa ushauri kwamba anakufaa au hakufai. So fanya kwanza maamuzi kama una ninua gari au unaendelea kukodi. Ukute mwenyewe hataki kuuza mapato yake ni hivyo mnavyokodi sasa atakuuziaje.
 

Ha ha ha ha nilijua mtaalamu ukija mambo yatakuwa poa gud nimeipenda
 
Hawa madereva huwa wanaendeshea hirizi sasa ukibadili dereva tu utakiona cha moto

Ha ha ha umenikumbusha mbali kweli hao madereva wa hirizi wapo kweli siku hizi we Fidel wewe haya bana
 
Ha ha ha umenikumbusha mbali kweli hao madereva wa hirizi wapo kweli siku hizi we Fidel wewe haya bana

Kuna dereva mmoja wa bus anaendesha ameweka kitenge mapajani na anamiaka kibao style yako ndo hiyo hiyo hata kuku hajawahi gonga
 
Kuna dereva mmoja wa bus anaendesha ameweka kitenge mapajani na anamiaka kibao style yako ndo hiyo hiyo hata kuku hajawahi gonga

U made my day kitenge tena chanini au oil inavuja sasa yeye anaogopa kuigusa?
 
kakuweka kiganjani huyo, kunasiku mtadondoka kwenye gari, yeye atakutoa kafara, gari nyang'anyang'a, yeye atapona, wewe peke yako utakuwa chapati...we endekeza watu wachawi kukufanyia shughuli zako, hujui mwisho huo uchawi wake wa masharti utataka nini...na ameshakusogeza uko karibu naye that means network inaweza kukamata akitaka kupiga.
 
U made my day kitenge tena chanini au oil inavuja sasa yeye anaogopa kuigusa?

Hawa madereva i see we acha tu waangalia fikiria dereva anakomaa toka Nairobi mpaka Dar kesho tena anageuza Dar mpaka Nairobi hiyo ni kila siku lazima atumie kizizi na anasuuzia na mirungi.
 
Hawa madereva i see we acha tu waangalia fikiria dereva anakomaa toka Nairobi mpaka Dar kesho tena anageuza Dar mpaka Nairobi hiyo ni kila siku lazima atumie kizizi na anasuuzia na mirungi.

Hapa mnazungumzia gari gani? Swift, Carina Ti, Starlet, Rav 4, Pickup, Scania au trekta?

Mi mmeniacha njia panda hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…