Dereva wangu!

Wewe mtoa thread hivi una undugu na "Magulumangu"? Maana hili tafsida kiboko!
Hata hivyo ndugu usafi wa aina hiyo barabara za uswahilini ni mgumu, si unajuwa tena....

Uswazi pasport size! ... ha ha haaaaa
 
Hawa madereva i see we acha tu waangalia fikiria dereva anakomaa toka Nairobi mpaka Dar kesho tena anageuza Dar mpaka Nairobi hiyo ni kila siku lazima atumie kizizi na anasuuzia na mirungi.

Hiyo safari inachosha sana dar - nairobi aahhh mie naweza kulala arusha niendelee na safari kesho yake
 
Hapa mnazungumzia gari gani? Swift, Carina Ti, Starlet, Rav 4, Pickup, Scania au trekta?

Mi mmeniacha njia panda hapa!

Tunazungumzia gari ya Elia ni Beetle a.k.a mgongo wa chura
 
Tunazungumzia gari ya Elia ni Beetle a.k.a mgongo wa chura

Hizi Bito si ndio machine a.k.a injini iko nyuma afu huwa haitiwi maji kwenye kipoozeo? Yaani inaendeshwa kavukavu, au nakosea mpwa?
 
Hizi Bito si ndio machine a.k.a injini iko nyuma afu huwa haitiwi maji kwenye kipoozeo? Yaani inaendeshwa kavukavu, au nakosea mpwa?

Ndo hizo hizo mpwa

Huyu Elia dereva wake kila kituo anasimama anapooza uso wake kwa maji
 
Hiyo safari inachosha sana dar - nairobi aahhh mie naweza kulala arusha niendelee na safari kesho yake

DA, lazima ufike mwisho wa safari, hiyo kesho yake majukumu mengine!
 
kuna watu wa kusini krb na nchumbiji ni wazuri kwa /driving school/ wanaweza kukupa technique za kumfanya driver wako apite hata vituo vinne bila kunawa. wanakufundisha jinsi ya kufunga /safe belt/ ukija kufungua tayari uko kituo cha tatu
 
Ule usukani ni mkavu sana hakuna hydroric ndo maana jamaa anapooza kila kituo.

Nitamuuliza kama akitumia steeling cover bado atahitaji kunawa kila kituo
 
kuna watu wa kusini krb na nchumbiji ni wazuri kwa /driving school/ wanaweza kukupa technique za kumfanya driver wako apite hata vituo vinne bila kunawa. wanakufundisha jinsi ya kufunga /safe belt/ ukija kufungua tayari uko kituo cha tatu

Hebu tumwagie technique kdg mkuu!
 
Mhh umemwelewa kweli mwenzio??? Katumia LUGHA YA KIKUBWA HUYU SI GARI KAMA GARI ULIJUALO NA DEREVA KAMA DEREVA UMJUAE: TAFSIDA HAPOO UDUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…