DA, lazima ufike mwisho wa safari, hiyo kesho yake majukumu mengine!
Safari ndefu na 80/hr wapi na wapi? at least 120/hr
Mhh umemwelewa kweli mwenzio??? Katumia LUGHA YA KIKUBWA HUYU SI GARI KAMA GARI ULIJUALO NA DEREVA KAMA DEREVA UMJUAE: TAFSIDA HAPOO UDUMU
Ndugu kiongozi kunawa uko umekuelewa si kunawa mikono<ni kunawa mikono ya kiutu uzima si jui umenielewa?Shida yako ni kununua gari au kubadilisha dereva? Kama gari siyo lako ni la kukodi tu mambo ya dereva yanakuhusu nini tena si ukodi gari jingine? Kwani ukinunua gari lazima umchukue na dereva wa hiyo gari?
Kuhusu vituo labda utuelimishe zaidi kuhusu umbali wa kutoka kituo kimoja mpaka kingine.Inawezekana anahitaji kwenda toilet kupunguza haja zake na hivyo lazima anawe. Sasa kuficha siri ya kuwa anaenda KUNYA anakuambia kuwa anaenda kunawa. Ulitakiwa uelewe kuwa kunawa kunatumika kama kiwakilishi tu. Au yawezekana ana tatizo la kiafya ambalo ni siri yake binafsi hivyo siyo haki kuanza kumuuliza akueleze.
The best way ni kumuuliza.
Nimekupata mkuu, ila vituo sio sawa kilasiku, siku ya kwanza nilikuwa na vituo vitano, siku ya pili vitatu. Na ni kweli huwa anakwenda kunawa
Kaaazi kweli kweli!!!Lock milango ili asiweze kushuka!!!
Kamanda, hii ripoti nsipoimaliza utakuwa na kesi ya kujibu.
Nawahi Kingstaa!
Habarrrr ake GX100 bana.....unahitaji draiva?
No comment mkuu hapa kamaliza kitu..nasisitiza fanya kama alivyokuagiza.Elia,
Huyo ndo dereva anyefaa na ambaye amependekezwa kwenye vitabu vinavyohusu mambo ya udereva. Tena si kunawa tu yatakiwa kila kituo aoge ndo muendelee na swafari. Na kukiwa na mafuta uzuri pia atumie ili kufanya kila mwanzo wa kituo ni kama mwanzo wa safari vile. Huyo si dereva wa kumuacha na ikibidi fanya haraka ununue na gari yake kabisaaa
No comment...........mkuu hapa kamaliza kilakitu..........Nasisitiza heshimu ushauri wake maana hakuna dereva mzuri kama yule anaefuata sheria tehetehete!!!!Elia,