Kenyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 414
- 314
Jibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa akisafirisha kwenda Uganda.
Waandamanaji walimfurusha nje ya trela na kuliteketeza moto wakisema sio Mkenya. Hatahivyo juhudi zao za kutaka kuiba nyaya hazikufua dafu kwani Jeshi la Zimamoto liliwasili kwa haraka kudhibiti hali.