Mwanamke na mwanaume wajinga wataivunja nchi yao kwa mikono yao wenyeweJibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa akisafirisha kwenda Uganda.
Waandamanaji walimfurusha nje ya trela na kuliteketeza moto wakisema sio Mkenya. Hatahivyo juhudi zao za kutaka kuiba nyaya hazikufua dafu kwani Jeshi la Zimamoto liliwasili kwa haraka kudhibiti hali.View attachment 2607182
Huo ni uwendawazimu.Jibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa akisafirisha kwenda Uganda.
Waandamanaji walimfurusha nje ya trela na kuliteketeza moto wakisema sio Mkenya. Hatahivyo juhudi zao za kutaka kuiba nyaya hazikufua dafu kwani Jeshi la Zimamoto liliwasili kwa haraka kudhibiti hali.
View attachment 2607182
Wakunya tuliwaambia kuwa vurugu za uchagusi siyo lazima ziwe siku ya uchaguzi hawakutuelewa wao wakatukebei na kusema uchaguzi umepita salama[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254 huko pande gana za slum [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanamke na mwanaume wajinga wataivunja nchi yao kwa mikono yao wenyewe
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya hua ni watu wapumbavu, nashangaa tulikua tukidhani wana akili ngoja tuwapite kiuchumi ndio watatia adabu
Sijawahi kuwaona wakenya Wana akili hata siku Moja tangu nikiwa mtoto kwasababu niliwajua vizuri Sana, nilikua ninawashangaa Sana watanzania waliokua wakiwasifu wakenya.Wakenya hua ni watu wapumbavu, nashangaa tulikua tukidhani wana akili ngoja tuwapite kiuchumi ndio watatia adabu
Hili lori la kusafirisha mizigo linamilikiwa na kampuni gani?Jibril Abduba , ambaye ni dereva wa trela ameeleza Wanahabari kwamba waandamanaji waliomsimamisha barabarani Southern Bypass mapema leo walitaka chakula lakini akawaeleza ni nyaya tu alizokuwa akisafirisha kwenda Uganda.
Waandamanaji walimfurusha nje ya trela na kuliteketeza moto wakisema sio Mkenya. Hatahivyo juhudi zao za kutaka kuiba nyaya hazikufua dafu kwani Jeshi la Zimamoto liliwasili kwa haraka kudhibiti hali.
View attachment 2607182