Mhhh hata sikumbuki hii movieWanasema eti wewe ndio ulikuwa yule pisi kali pale wanakugombania hahah
Hatuelewi kitu mkuu,na hivi tupo Nanjilinji huku.Hebu ni PM MkuuUsiulize wewe hahah
Mhhh hata sikumbuki hii movie
Aah sawa...😄DOKEZO - √ - Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi
Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...www.jamiiforums.com