Happy Birthday Derimto!!
Usiwe unapotea sana bwana, hadi nilitaka kukusahau jamani!!!
Au uwe unaaga basi, kama umeenda Loliondo.
Chauro na wewe ni happy birthday yako leo?? Mbona kumwita Derry wangu pacha?......Haya nawe Happy kubirthtica my loveoooh happy birthday pacha wangu
Bado nakagua ninakoumwa best ndiyo nianze kwenda kupanga foleni ya kikombe ila nachangisha nauli kama vipi mchango wako unitumie kabisa ili nikishajua naumwa nini nianze safari ngoja nimuulie wangu wa moyoni MJ1 akikubali nimchukue tukapate kikombe
......................Mh mwanaume wa kibantu ni wa kibantu tu...............yaani badala ya kusema ngoja nimtafute MJ1 tujifiche tufungue wote we unanbagua...................Nirudishie birthday yangu.Kaka PJ nashukuru kwa hili box ngoja nitafute uchochoro nilifungue nijisevie kimtindo baada ya wageni kuondoka
Hivi ya kwako lini tena vile:lol:Happy birthday Derimto! May our living GOD bless you to 100 years!
:lol::lol::lol::lol:......................Mh mwanaume wa kibantu ni wa kibantu tu...............yaani badala ya kusema ngoja nimtafute MJ1 tujifiche tufungue wote we unanbagua...................Nirudishie birthday yangu.
PJ huyu pacha tumeona jua pamoja,toka tutokee kwenye huu mwanga miaka kumi na mbili tu imepita
Hivi ya kwako lini tena vile:lol:
Kinyota inasema utakuwa na matatizo ya kifedha kwahiyo ni bora ukaniona nikakupa PETE ya kusafisha matatizo yako.june 26, hahaaa! Fuatilia na kinyota anasemaje!
Kinyota inasema utakuwa na matatizo ya kifedha kwahiyo ni bora ukaniona nikakupa PETE ya kusafisha matatizo yako.
Hata kabla haujani PM nimeishajua matatizo yako nilitee jogoo mtetea, mafuta, sabuniPETE?? Mmmh zaidi ya sheikh Yahya ,ok ntakupm unipe utabiri zaidi hasa wa kiafya na kisiasa!
Hata kabla haujani PM nimeishajua matatizo yako nilitee jogoo mtetea, mafuta, sabuni
happy birthday Dermoto..
happy birthday Dermoto..
afro huyo ni nani?
Hilo jina dada maliza kazi kwanza!!!!