Desabre kujiunga Simba, wanavutana kuhusu mshahara

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ni kocha wa zamani wa team ya taifa ya Uganda na pyramids ya misri anataka dollar 22,000 kwa mwezi Simba walitaka wampe 13,000, bado wanajadiliana.

 
Kocha mzuri huwezi kumpata kwa bei ndogo
Naelewa simba wanachohofia kuna level ukishagusa kurudi nyuma ni ngumu namaanisha ki hela, kishingo alikuwa dollar 10,000 na wengi waliopita ni hiyo, kaze ni 11,000 sasa huyu akipata 22,000 huko mbeleni kuna makocha ambao hata hiyo 13,000 wangechukua lakini watakataa wakijua kwamba fulani alishawahi kupewaga kiasi fulani.
 
Mo angeweka ile bilion kadhaa tungemsajili ila kwa sasa atuache kidogo.
Hiyo B 20 ni pesa kidogo sana, kuweza kutosheleza mahitaji ya timu kama simba.

Bila usimamizi Mzuri inaweza kuisha ndani ya misimu mitatu tu kama sio miwili Mwekezaji akabaki kuhesabu hasara.

Kumbuka hiyo B 20 bado itakuwa mali ya Mwekezaji. Sio zawadi wala mgao.

Ili iwekwe haraka lazima Mwekezaji ahakikishiwe usalama wa pesa yake.

Je, wewe unaweza kumhakikishia?
 
Hiyo B 20 ni pesa kidogo sana, kuweza kutosheleza mahitaji ya timu kama simba...
Kwan Mo akiweka bilion 20 mezani bado Simba atapata 51% ya mapato ya Club. Sio kwamba 20b ikiwekwa ndo hapati tena kitu
 
Hiyo B 20 ni pesa kidogo sana, kuweza kutosheleza mahitaji ya timu kama simba...
wandhani ni cash ndiyo maana kina mwanzoni vurugu zilikuw anyingi walijua ni cash inamwagwa watu waipige huoni hata kina nkwabi walikimbia cheo cha uenyekiti? usipopiga hela kwenye usajili ukapata cha juu hakuna mianya tena simba ya kuiba hela.
 
Si mlisema ibenge? Mnahangaika.

Kaze for life
wapi simba walitamka wanamtaka ibenge? kwani maneno ya washabiki wa simba ndiyo official statement ya club?kwa taarifa yako ibenge analipwa dollar 16,000 as vita simba haiwezi kushindwa kumchukua interview yake ya juzi pale taifa mwenyewe alisema ikipatikana nafasi hatakataa kufundisha simba ila yuko bize na team ya taifa pia anachukua mishahara miwili
 
hiyo ndo maana halisi ya utopolo
 
Kwa hatua waliyofikia Simba ni nzuri kwa ajili ya kutengeneza CV ya kocha yeyote.

Kama vipi Simba imrejeshe Uchebe japo tatizo lake alijiharibia alipoondoka alisema baadhi ya viongozi hawana elimu na kuishia kuwakera.
 
Kwa hatua waliyofikia Simba ni nzuri kwa ajili ya kutengeneza CV ya kocha yeyote.

Kama vipi Simba imrejeshe Uchebe japo tatizo lake alijiharibia alipoondoka alisema baadhi ya viongozi hawana elimu na kuishia kuwakera.
kabisa aliondoka kwa ubaya sana hata kule south black leopards pia kaondoka kwa dharau kawakandia kiwanja chao cha mazoezi,alikuwa bado hotelini wanamtaftia nyumba kawazengua akapigwa mechi 3 mfululizo wakaachana naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…