Toooobaaaaaa!! Shemeji hebu wahi kabla sijamuita husna.Mmh, ebu njoo pm mdogo wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanarumango hii Njia ya himo karbia na segera kwenye Ile milima ya sekenke karbia karbia na chalinze kama unakuja bwejuu
[emoji56][emoji56][emoji56]Bado hayajaisha
Ha ha ha ha ha nn tena mkwe kipenz[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hebu kazifuate akili zako ulipoziacha.
Tulia Vizur Kula na wenzioToooobaaaaaa!! Shemeji hebu wahi kabla sijamuita husna.
Shemeji unajua hata mpenzi mtazamaji mara moja moja huwa anafikiriwa.Wewe haunifai.. ni bora niende jiji la viwonder nikatafute mrembo wa kunibashite. Yaani niwe mpenzi mtazamaji kweli!
Daby kakushauri vizuri sana na ww unawekaje avatar ya mwanaume ndio mana bonny alisema hauelewekiKazi ya Daby hiyo
Alirudi alafu kuna jaama alikuja kumchukua wakaenda dinner ila hajarudi hadi sasa, nadhani watakuwa wamepitia kwenye mkesha.Ha ha ha dota nmeachana nae toka lunch time alisema Leo atapitia kwwnye maombi jion Kwan hajafika mpka sa hvi
hhhaahhSi ndio vizuri lakini mana bado ana uhitaji
Ha ha ha mkwe wangu hajielewNajaribu kujipigia chapuo ila mkwe wako mgumu saana bwana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kabisa mana saa ingine unajikuta hata huko whatsapp hujaingia mara nyingi kama ilivyo jf.
Nilijua heinken kumbe juice ya miwaJeur hyo Huna utakaa na Nan kunywa juice ya miwa