Ukipewa Heineken unazima haraka halafu unaanza Ile.michezo yakoNilijua heinken kumbe juice ya miwa
HahahahaHa ha ha mkwe wangu hajielew
Aseeh JF kama imenikamata hadi mimi basi. I can't it. Halafu ukiangalia unachat pumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani unaona msg zinaingia ila unazichunia tu!! Hii jf konyo kweli kweli.
Daah! Kumbe ugonjwa wetu mmoja.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani unaona msg zinaingia ila unazichunia tu!! Hii jf konyo kweli kweli.
Hivi ujue we ni mwanangu eeh!!!Ha ha ha ha ha nn tena mkwe kipenz
Asante mkwe kwa taarifa na ruhusa uliyompa bintiyo kwa kwel maana mweny ewe Leo Nina vikao vya of is mpka muda huuAlirudi alafu kuna jaama alikuja kumchukua wakaenda dinner ila hajarudi hadi sasa, nadhani watakuwa wamepitia kwenye mkesha.
michezo ipi hiyoUkipewa Heineken unazima haraka halafu unaanza Ile.michezo yako
Kwenye pesa yaani ni kama mkate kwa chai, maneno matupu hata huwa siyaelewi.Najaribu kujipigia chapuo ila mkwe wako mgumu saana bwana.
Wakwe wa kidigital haoHivi ujue we ni mwanangu eeh!!!
Nakukumbusha tu.
Hujawah kusikia mtoto anasema kwako.mama kipenz Jaman mkweHivi ujue we ni mwanangu eeh!!!
Nakukumbusha tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Tulia Vizur Kula na wenzio
C Daby alikua anakula na mwenzie[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nile na wenzangu wapi? Kwani katajwa mo11 hapo?
Tulia bas na weweWakwe wa kidigital hao
Kwa ule ujanja wako hauhitaji kurushiwa cash inakuhusu. Maana juzi nilikurushia ukafuta meseji ya mwamala.Kwenye pesa yaani ni kama mkate kwa chai, maneno matupu hata huwa siyaelewi.
Mmmmmh!!Hamna soma text yake ya nyuma kaniomba kitu nikamwambia anifuate pm. Shemeji mbona hatuaminiani lakn. Haya tu wewe
HahaaaaTulia bas na wewe
Nawe kwanini umerudisha avatar?Daby kakushauri vizuri sana na ww unawekaje avatar ya mwanaume ndio mana bonny alisema haueleweki
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ha ha ha mkwe wangu hajielew