Mkwe una ushemeji na Daby unategemea nn sasa hapoHiyo 'kipenzi' sina tatizo nalo, tatizo ni kunidalalia.
Hamna shida, alafu kuna kadi yako ya mchango naomba uipitie kesho.Ila huu mchezo hautaj hasira na mm nikienda Dina Sawa mkwe
aliyemdadavua Quigley vipi tusikuite
Hahahaaaa! Usiibadilishe ndugu yangu iache hiyo hiyohalaf unajua kwa wanawake mliopiga kelele n ww na joanah aisee sitoi tena kila ninapoenda watu wanataka ya mapaja irudi
Pesa karatasi tu,sema shilingi ngapi unataka. espy asione lakini.Haya
Hizi kazi za ulinzi sijui kuna malipo.
Weka muamala kesho atamsahau mpka mumewe top two yote ya kwako
Shunie siyo wa kunitema, mambo yetu bado ni mubashara.Fakalava ulishamtema?
Wewe mwanamke unatubadilisha kama vyupi. Ushindwe
Still together, tunakula unyunyu kwenda mbele.hahahhah ngoja aje fakalava
hahahah sitaitoa tenaHahahaaaa! Usiibadilishe ndugu yangu iache hiyo hiyo
We uko kwenye top20 hukooooo!! Kwahiyo siku nikikuta uzi unaohitaji top 20 basi nitakukumbuka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kabisa halafu hugeuki nyuma ni mbere kwa mbere
Mbona umemtaja ex wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahahaaliyemdadavua Quigley vipi tusikuite
Ha ha ha ha mie sipew kadi nilijua toka siku ya kwanza na nmebarik maamuz yake tu so mchango wangu kaupata kabla hata hajakwambiaHamna shida, alafu kuna kadi yako ya mchango naomba uipitie kesho.
Ndio mpaka wanyooke[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli kabisa, na wasitupangie cha kufanya.
Mimi ni jirani yangu tu.Mbona umemtaja ex wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Unataka tunyooke enhee vinyoosheo mnavyoNdio mpaka wanyooke