Describe and explain anything about HIm/HEr

Mito sijui yuko wapi aje anitaje? Au Paul Selejio. Sijawaona muda hawa wadogo zangu.
 
Nimeona wasifu wako kuwa una roho nzuri. Kama hiyo picha ni wewe tafadhali niambie nikupende. Sasa hebu nielekeze jinsi ya kumenshen mtu. Kuna watu nataka kuwamenshen ukiwemo wewe.
Taja mtu kwa kuandika @(jina) usiache nafasi kati ya @ na jina. Ukimaliza anza kutiririka sifa.

Naamini unajua kusifiwa maana ukinisifia vizuri na mimi nitakupenda tena zaidi yako.
 
Taja mtu kwa kuandika @(jina) usiache nafasi kati ya @ na jina. Ukimaliza anza kutiririka sifa.

Naamini unajua kusifiwa maana ukinisifia vizuri na mimi nitakupenda tena zaidi yako.
Hapo kwenye picha mbona hujanipa credit zangu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…