Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

ni Christ mass, misa ya Yesu na sio christ birthday..just kukumbuka !
 
Nawaalika pilau pande za Munich tusherekee Xmas pamoja
 
Nakuuliza ule mwamba ambao kanisa limejengwa uliwai kusheherekea 25/December ? kama laah kuna andiko lolote ? kama laah haya tuambie umetoa wapi?
Unacho nishangaza hadi nikuone wewe una fani ya wazimu ni hicho [emoji117] Nimekupa Ushahidi wa ayat kwamba SISI Wakristo Tumepewa Funguo! Na wewe mwenye fani ya walahi sitaki, Tuwekee humu Hata jina la ngariba aliye mtahiri nyama ya govi la muhammad ili nijue msingi wa kuamini kwako [emoji53] kafir mkubwa wee [emoji12]
 
Mmepewa ufunguo wa kuleta upagani kwenye ukristo ? ahahahhaahhahaahahahhah waliopewa ufunguo awajawai ruhusu wala mwambia mtu afanye hicho cha 25/December bila shaka hii funguo mlionayo nyie sasa ni ya mchina
 
ni Christ mass, misa ya Yesu na sio christ birthday..just kukumbuka !
Wewe pia umekosea..

Hapo kwenye ' mass' sio hivyo ila ni single '.s'...yaani mas

Christmas...

Mas ni neno la kigiriki lililomaanisha Festival
Hivyo ni Christ Festivals
 
Mmepewa ufunguo wa kuleta upagani kwenye ukristo ? ahahahhaahhahaahahahhah waliopewa ufunguo awajawai ruhusu wala mwambia mtu afanye hicho cha 25/December bila shaka hii funguo mlionayo nyie sasa ni ya mchina

wewe huna deen wala imamani [emoji53] [emoji12] Hivyo sishangai unaposema "mmepewa Ufunguo wa kuleta upagani" ingekuwa muislamu ungeheshimu Kauli hizi za allah [emoji117] na amesema Wakristo WASIHOFU [emoji117] wewe kafir mtoto wa mshahara ndio ututie hofu [emoji348] [emoji348] [emoji351] [emoji15] [emoji12]
 
Hizi aya azikupi wewe uhalali wa kuongeza vitu ambavyo manabii awajafundisha . ukiongeza ambacho hakipo kama Christmas halafu ukajifanya ni sehemu ya mafundisho huo ni uzushi na unafiki ulio wazi, maandiko yanajitosheleza hayaitaji msaada
 
Siku hizi binadamu walio umbwa na Mungu kwa mfano wake ndo hao hao wanaongeza madudu ktk biblia na ukiuliza imeandikwa wapi hutapata majibu zaidi tu utaambulia matusi na kejeli za kijinga ila tukumbuke Mungu wetu habadiliki wala si kigeugeu alichoamuru na kutuagiza sisi kufanya hakitabadilishwa na binadamu yoyote katika dunia hii haya mnayoyaona ni maigizo tu ya wanadamu wenye dhambi wakihangaika na hii dunia Kila aina ya uchafu
 
Wanaosherehekea Christmas ni watu ambao akli zao hazko sawa.... in short unatakiwa uwe taahira kukubaliana na malengo ya christmas...hii ni sku inayohamasisha uzinzi na uasherati, ulevi na kila aina ya ufuska...na kamwe Mungu hatukuzwi kihuni namna hiyo, sku yenyewe ni fake, na inamilikiwa na shetani..mtu mzima na akli zake anahenyeka...watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Du hadi suruali, sasa mimi mwanaume nikavae sketi au nidunde mtaani uchi dushelele ikiyumbayumba kushoto kulia, vitu vingine vya kipagani navifanya na sioni ajabu, ntaona ajabu yule asiyekifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…