Design ya kijiji Denmark

Hivi ni nani walikuja hapa Bongo wakasema Dar ni likijiji likubwa.
 
Hivi ni nani walikuja hapa Bongo wakasema Dar ni likijiji likubwa.
Nakumbuka ilikua ni kipindi kile wanyama wakati yuko totenham akaja bongo vyombo vya magharibi vikaripoti, " wanakijiji wakusanyika kwenye fukwe za kijiji kimoja kikubwa huko afrika mashariki wakijumuika na mchezaji wa spurs, wanyama "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…