PICHAHabari wadau.
Sijajua ni macho yangu au nini. Hii design ya hivi vituo sijui imezingatia kitu gani maana havivutii ata kidogo.
Inamaana wahandisi wameshindwa ata kuiga ramani ya vituo vya zamani walivyojenga wenzako?
Pia cha kushangaza vituo hivi vimechoka kuliko vituo vilivyojengwa phase ya kwanza ya mradi.
Wadau sijui nyie mnaonaje.
NAKAZIAhuu uzi bila picha ni sawa na used condom
alafu ile balance kapita nayo Angela Kiziga na AbdulMchina kajenga kwa bajeti ndogo kuliko mjerumani strabag
Strabag ni Austria sio Ujerumani au zile Benz Actros wakati wa ujenzi ulijua MjerumaniMchina kajenga kwa bajeti ndogo kuliko mjerumani strabag