Designer Vaginas...Worrying trend?


---BAK, je baada ya miaka 120 procedure hiyo itakapokuwa improved zaidi na kuanza kuonekana inamanufaa katika kulinda mahusiano, kuwawezesha watu wajisikie vizuri.... huoni kama hao wanaofanya hivyo watakuwa ma-pioneer wa wajuu zetu huko mbeleni?

---Watu waliopata watoto kwa njia za mirija "test tube" babies na wale waliojitolea operation za mioyo wakati wa uasisi wake, si ndiyo walio pave development ya tiba mbadala na maendeleo karika utabibu miaka ya hivi karibuni?...

SteveD.
 
Kutairi na kuongeza life span ya wanadamu kwa maoni yangu ina tofauti kubwa sana na kuweka matiti ya bandia, punani ya bandia au kuongeza nanino ili iwe ndefu, nene n.k. Haya ni mawazo yangu tu lakini wengine wanaweza kabisa kuona kufanya mambo hayo hakuna matatizo yoyote. Imagine mama anakwambia nani hii yangu siyo real ni fake niliyokuwa nayo nilikuwa siipendi inavyoonekana nikaamua kuibadilisha. Sijui wewe, lakini mimi hapo nitaingia mitini jumla jumla πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Have a good weekend to all of you πŸ™‚
 
Moja: Kwanini kutairiwa ni tofauti?
 
WoS, nakubaliana nawe katika hilo kuwa huyo alichofanya katika umri huo aliokuwanao katika mazingira tuliyoyazoea ni kama ujuha vile. Lakini naomba kukuuliza, kama tatizo ni umri; je ni umri gani ambao unge/unakubalika kufanya hivyo?


Unajua SteveD,
Kuna stage katika maisha mtu awe mwanamke au mwanaume anajikuta ana crisis na mwili wake mwenyewe - anakuwa haridhiki na jinsi alivyo kama ni mfupi angetaka awe mrefu au awe mnene zaidi au mwembamba.. awe na uso smooth usio na chunusi..awe na nywele nzuri.. awe na kifua kipana kwa wanaume nakadhalika.Hiki ni kipindi cha transition from puberty- to young adulthood .Mtu anapo mature zaidi inabidi aanze kujikubali mwenyewe japo wengine wanakuwa bado hawajikubali. Hiki ni kipindi kwa wenyenazo kuanza kutumia pesa "kujikarabati" hasa kwa vipodozi nakadhalika. Kwa wenzetu huko nchi zilizoendelea zaidi ndio unakuta kuna extremes za kuingia kwenye surgery.Japo kwenye show ya Dr 90210 nimeona vijana wadogo pia wakifanyiwa hizo operation kubadili sehemu mbalimbali za miili yao kama matiti, pua na hata hizo nyeti zao, na wengine wakipewa financial support na wazazi wao.
Mtu akibahatika kufikia umri mkubwa sana na akiwa yuko obsessed na urembo - basi atakuwa amejiweka vizuri tu na kuzeeka gracefully bila kuhitaji upasuaji. It is ridiculous to me for 70 year old to look like a 20 year old!
 
Sawa WoS, nakubaliana na hilo... ila swali langu ni kwamba, je kufanya hivyo kwenye umri ambao unaukubali/unakubalika (kama upo) ni jambo lisilofaa kwa mwenye uwezo , nia, mahitaji.... au laa?
 
"Making the labia smaller" sioni tatizo ikiwa mwanamke ametaka kupunguza kwa sababu labda ya physical discomfort (Kuna picture gallery kwenye post number 3).


Sikuwa nimewahi kufuatilia kikamilifu kujua ni nini hasa kinaonndolewa wanapofanya FGM/C.
Hili swali limenijia wakati naandika hapa, na japokuwa nafahamu sababu kuu ya FGC sikuwahi kufikiri kuhusu ugumu wa kuondoa kisimi. So I said to myself "you can't remove the clitoris completely or can you?".
Female genital cutting types.




.
 
Sawa WoS, nakubaliana na hilo... ila swali langu ni kwamba, je kufanya hivyo kwenye umri ambao unaukubali/unakubalika (kama upo) ni jambo lisilofaa kwa mwenye uwezo , nia, mahitaji.... au laa?

Ni suala la kufanya cost benefit analysis na assessment of the risks involved as you know surgery is risky.Ukiona inafaa so be it....kama inakuongezea faida fulani iwe ni boosting of self-esteem ..go for it!
Nadhani ni uamuzi binafsi
 
Ni suala la kufanya cost benefit analysis na assessment of the risks involved as you know surgery is risky.Ukiona inafaa so be it....kama inakuongezea faida fulani iwe ni boosting of self-esteem ..go for it!
Nadhani ni uamuzi binafsi

Thanks, matter sorted!
 
Moja: Kwanini kutairiwa ni tofauti?


SteveD,
I think Bubu ataka kusema had a point.

Hata hivyo nakubaliana nawe hapa chini japo mwanzo nilikuwa napishana nawe kinamna, na hii ilitokana na effects za mtazamo wa mwandishi wa habari na jinsi alivyoiweka. Baada ya kuangalia sources nyingine, nimetambua mengine ambayo kwa makusudi mwandishi aliamua kutoyazungumzia. Hii ndiyo sababu kubwa wengine tumepunguza kusoma habari kwenye source, badala yake tunakuja JF kwenye comments.






Nakubaliana nawe japo sikupendezwa na mfano ulioutumia wa matiti fake maana inani-turn off vibaya mno hiyo kitu. (Siku hizi naangalia African & Asian 'popcorn' tu)


Nimekupata vizuri SteveD baada ya kusoma Clitoral unhooding/circumcision. Ndio kusema, ikimpendeza mwanamke kufanya, litakuwa jambo chanya.



.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…