Tyler Durden
Member
- Aug 5, 2021
- 74
- 115
Dar sehemu gani?Habari wana jf....Nina mzigo wa hizi kitu nauza bei ya juma....zipo 25 Kila moja inaenda 10000...tu. mzigo upo dar es salaam... kama upo interested nicheki 0783350399....
Napatikana Tegeta wazo hill....Dar sehemu gani?
Niletee moja hapa madale mwisho. jioni ya leo. saa 1:00 -2:00 usikuNapatikana Tegeta wazo hill....
ohoo kumbe. me nilihitaji moja tu.Hiyo bei ni Kwa mteja wa jumla atayeweza kuchukua mzigo wote