Unafanya live? Ama una record na kuingiza sauti baadaeWakuu habari,
Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya.
Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo haina watermark na output yake ikawa ni mp4.
Chief-Mkwawa
Narekodi na sauti hapo hapo kutoka kwenye usb mic. Sema later hiyo suati ntaitenganisha na video kwa ajili ya kuifanyia editing na kuweka effectsUnafanya live? Ama una record na kuingiza sauti baadae
Asante mkuuCamtasia.
Yani .kuu narekodi desktop sio kwamba natumia webcam kurekod. Kuna lessons za java nataka kuzitengeneza so ntakuwa naandika code so nataka nicapture screenUbora wa Video ya Desktop utakua chini Mkuu.
Ama zipo zenye camera bomba zaidi?
Asante mkuu ntaijaribuItop screen record iko vizuri
Ina record high Quality kwa low mb
Hii ina waterMark mkuu!Camtasia.
Atumie windows x game bar. Sema hii ni kwa windows 10 na 11.Hii ina waterMark mkuu!
Amesema Isiyo na watermark
Wana three-day free trial. Tatizo nyingi za free zina watermark, pia video & audio quality zinakuwa mbovu.Hii ina waterMark mkuu!
Amesema Isiyo na watermark
Ntaijaribu asante sana mkuuIpo moja ya windows .. mimi ndio hwa naitumia kutengeneza demostrations..iko gud tu
View attachment 2868861
Nina windows 10Atumie windows x game bar. Sema hii ni kwa windows 10 na 11.
Yeah Three days free Premium Features but with watermark..Wana three-day free trial. Tatizo nyingi za free zina watermark, pia video & audio quality zinakuwa mbovu.
Kama hataki kulipia crack zipo.