Desktop recording software

VLC tu hii ya kuplay movies na nyimbo ni multipurposes ni screen recorder moja nzuri tu mbali ya kua pia ni Video to Audio converter..
 
Ziko nyingi na karibia zote zinatoa quality nzuri tu lakini kwa open source chukua OBS studio hiyo unaweza fanya live session na recorded one cha msingi ujue kuu customize shortcut zake RAHA YA OBS IPO KWENYE LIVE SESSION.


KUNA NYINGINE INASUPPORT LIVE NA RECORDED VIDEO ILA NI PREMIIUM HAKUNA CRACK YAKE INAYOFANYA KAZI NI NZITO PIA NI SPESHO KWA KUSTREAM GAMES INAITWA Action screen recorder.


Kuna camtasia, 4videosoftscreen capture, itop, na movavi zingine hapa ni nzito kwa 4gb RAM hasa hiyo movavi.
Hizo zote ni za kulipia otherwise tafuta CRACK zake.

Pia kama unatumia Google browser nenda web store kuna plugin/extension zinazofanya capture ya screen na browser.


All in all OBS studio remain as the number one Kama uko serious na hiyo kazi.
 
Nmejaribu OBS na free cam naona zote zinanipa matokeo mazuri.
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…