Hawa wanaelimu zao siyo kama wakina stive nyerere nao wanasiasa
Hawa wanaelimu zao siyo kama wakina stive nyerere nao wanasiasa
Kwa hiyo na wasanii wa bongo wanaona inawezekana?imenikumbusha katuni moja waqt ule George osmanu oppong weah anagombea uraisi jamaa akaandika nyie kina ulimboka mwenzenu anawania uraisi nyie mpo mpo tuu.