Desperate woman

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,494
Habari wataalamu wa sheria!

Kuna colleague wangu, kaniomba ushauri yuko so desparate sana.

Amezaa na mCanada ambaye mwanzo alikuwa anaishi nchini (mwanza), mtoto mmoja she is 8 yrs now. Huyo Mzungu alikuwa na mke huko kwao, na ca 3 yrs sasa amerudi kwao!

Kitu kinachomsumbua huyo dada ni haki ya mwanae, kwani huyo Mzungu akikataa kile kitoto kisipewe family name ya Mzungu, na pia mwanzo alikuwa anatuma pesa za matumizi, lakini sasa amekata!

Sasa anaomba ushari, legally anaweza fanya nini? Na nini hawezi fanya?
 
hapa hakuna aliechangia why?
ampeleke ubalozini mwa canada,awambie raia wao huyo
 
Source: Children Born Outside Marriage

Hii ni straight from the horses mouth (canadian law)
 
Kwani what exactly does your colleague want?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…