Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato.
Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali la "how much do you expect us to pay you?" Jamaa na elimu yake ya degree akajibu i expect not less than 600k Tshs. Alisema hela hiyo ndogo ilimradi awe favored tofaut na wengine.
Kwa bahati nzuri jamaa alipata kweli hiyo kazi ila mpunga alipewa huohuo 600k aliosema.
Sasa hivi jamaa analia shida tu kila siku, kazi anayo lakini haimkidhii mahitaji. Anajuta kwa nini alisema hela ndogo hiyvo wakati international NGOs zinalipaga vizuri sana.
Funzo: Desperation isitufanye tukajishusha thamani