and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Apr 29, 2022 #1 Tujifunze kwa Waafrika wenzetu wanavyotangaza vivutio vyao. Kumbuka wote tunatafuta watalii hao hao. NB: Tuache ushamba, tumia pesa upate pesa. Balozi zetu ughaibuni, amkeni nchi imefunguka leteni watalii, sio kushinda Twitter.
Tujifunze kwa Waafrika wenzetu wanavyotangaza vivutio vyao. Kumbuka wote tunatafuta watalii hao hao. NB: Tuache ushamba, tumia pesa upate pesa. Balozi zetu ughaibuni, amkeni nchi imefunguka leteni watalii, sio kushinda Twitter.