Uhuru Peak
Member
- Feb 17, 2014
- 23
- 8
Me naitaka iyo ya dkt msabato.na kilo 98.nanatka niharishe mpka baasi.mwongozo jinsi ya kuipata.!
mwezi wa4 nilikunywa dawa ya kupunguza mafuta kutoka kwa docta wa kisabato mwenye tangazo kwenye tv.sitasahau niliarisha masaa 12 hadi nikaenda hospital kuwekewa dripu.
Angalizo wewe mtoaji wa dawa kuna vitu unatakiwa uzingatie kwa mteja wako kabla ya kuuza dawa zako kama presha, uzito na mapungufu mengineyo;
mwezi wa4 nilikunywa dawa ya kupunguza mafuta kutoka kwa docta wa kisabato mwenye tangazo kwenye tv.sitasahau niliarisha masaa 12 hadi nikaenda hospital kuwekewa dripu.
Angalizo wewe mtoaji wa dawa kuna vitu unatakiwa uzingatie kwa mteja wako kabla ya kuuza dawa zako kama presha, uzito na mapungufu mengineyo;
Kwa muda gani ulitumia?Kunywa maji ya moto au uvuguvugu glass 3 asubuhi, 4 mchana na 3 ucku. Kula mchemsho wa ndizi asubuhi na mchana kula wanga kidogo na ucku kula mchemsho wa ndizi. Ndizi ziwe mbili mbili kwa kila mchemsho na changanya na mbogamboga au carot na tia limao. Mimi nimetumia hiyo njia nilikuwa na kg 110 na sasa nina kg 98. Kwa maelezo zaidi nicheck 0765 290 010.
Miili yetu inapaswa kusafishwa ndani kwa usalama(cleansing)? Hii husaidia kukinga mwili na maradhi na kupunguza mafuta(uzito). Kutokana na u busy wa maisha inakuwa sio rahisi kupata vyakula ambavyo ni asilia (organic), tunameza dawa, pombe na soda vyenye kemikali, Hivo huchangia mtu kuongezeka uzito.
Tumia CLEAN 9 Ina mchanganyiko wa bidhaa nne (Alovera Gel chupa 3, Ultra Lite, Bee pollen na Garcinia. Pia ina tape measure pamoja na chupa ya kupimia) Ina kitabu cha muongozo wa jinsi ya kutumia. CLEAN 9 ni muhimu katika kusafisha (detox) sumu mwilini ili kuupa nafasi mwili wako uweze kupunguza mafuta yaliyozidi.
Inafanya kazi ya kusaidia mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji chakula. Matumizi yake ni rahisi sana.
Pia utahitaji kufanya mazoezi walau dakika 20 (kutembea,kuruka kamba,kukimbia au gym ukipenda), kula mbogamboga na matunda na Kunywa maji ya kutosha angalau lita tatu kwa siku punguza au acha kabisa ulaji wa vyakula vyenye sukari,wanga na mafuta.
Unatumia kwa siku tisa (na utapungua kuanzia kilo 3 mpaka 8) na itakusaidia kusafisha mwili na kungarisha ngozi na Kupunguza kilo.
Ukihitaji kupungua zaidi utaingia kwenye hatua ya pili Nutri lean ambayo ina bidhaa za mwezi mzima na una uwezo wa kupungua kilo 10 mpaka 15 Tafadhali zingatia..hizi sio dawa ni virutubisho (organic food supplements) ambavyo havina madhara katika mwili wako katika hali.
Clean 9 inapatikana kwa ghamara ya Tshs 264,000 tuu
WhatsApp 0753 706 284 tukupatie mwongozo zaidi.
Mazoezi ndo dawa thabiti kwa unene, na kupunguza mafuta yasiyo na maana mwilin(calories), hayo mengne ni mbembwe....unaweza ukanywa hyo madawa alaf yakabomoa mwili kwa kuharibu tissue muhimu za mwili(important body tissues) watu weng wanadanganyika sababu ya kuona uvivu kufanya mazoezi.Jaman natoa angalizo kwa wana JF wote tusipende kufakamia madawa hovyo.。
Big Show na Mark Henry wanakula mazoezi ya nguvu unaujua uzito wao? au umewaona walivyo na miili mikubwa?
usikariri maisha na usiwe mvivu wa kufikiri ilimradi utoe majibu ya kitoto, kila zoezi lina kazi yake;wale (bigshow,mark henry n.k) ni wanafanya mazoezi ya kubeba vitu vizito mf. vyuma, bt ukitaka kupunguza unene kuna mazoezi yake pia k.v jogging...sawa