This is why I love the US.. hakuna kuogopwa mtu! na wanasheria na vyombo vya sheria vinafanya kazi zao inavyotakiwa hata kama wanapokosea watatengeneza. I wish kungekuwa na mtu jasiri TZ ambaye angeweza kuwafikisha mahakamani watu "fulani fulani".
Ila huyo Kim Worthy hana mchezo.....nimeangalia hiyo 'impromptu' news conference na waandishi and she's a one tough cookie. The era of Kwame is over and now I wish they get rid of that Monica Conyers....yuuuuuccckkkkk....