OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja
Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini
Hivi huyu Bashe ndiye yule aliyegombea ubunge wa CCM Nzega,?
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja
Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini
Huyu Balile hafai kujadiliwa humu anatumalizia band tu, nakumbuka alivutaka kitu kama laki sita kwa mzee wetu Mengi kisha akaulizwa akabisha na baadaye akakubali kuwa alipewa ili anunue notebook za shule! Nyambafu kabisa huyu jamaa
Kazi ipo yaani huyu jamaa karejeshwa yaani mafisadi kabla ya 2015 tutakuwa wametuonyesha mengi. Ngoja niandae makala rasmi kwa wiki ijayo!
Wana JF tutarajie mgogoro mkubwa sana kati ya huyu jamaa na Bashe na ukilitazama hili jambo humu kwetu ndani tumeanza kuona mgogoro unakuja katika kikao cha wahariri kuliletwa swala la uhuru wa waandishi kuamua aina ya stori kuandikwa na hasa waandishi hawa kwa muda mrefu ndio waleeee walikua wanaandika habari za kulamba miguu wakubwa na kuisifia ccm,Balile alitumbia BASHE haruhusiwi kuingilia maamuzi ya editorial na hatoingilia katika story.nafahamu hili litaleta mgogoro huyu bashe amekua akisaidia kuandika hata story hapa kwetu sisi tunakumbuka matukio ya gongolamboto na ni msaada sas hatujui huu ni mpango wa kina salva ama inakauje.Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja
Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini
muhingo, from one fisadi to another fisadi.... he loves dem greens and colors