GE2025 Deus Bugaiywa: Bila amani Tanzania huwezi 'kutoboa' kimaisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Deus Bugaiywa, Mchambuzi wa masuala ya Siasa na Maendeleo leo Oktoba 7, akizungumza kupitia Clouds TV amesema;

"Vijana wanasema wanatoboa kimaisha lakini huwezi kutoboa kimaisha kama hakuna mazingira ya amani bali maisha yatatutoboa sisi badala ya sisi kuyatoboa"

​
 
Kama watu wanatekwa,wanauliwa na hakuna mahali serikali inaonesha jitihada, kuna amani?
 
Hivi Mdude Nyagali, Mzee Kibao na Soka wametoboaje kimaisha? Au anamzungumzia Mafyele? Mizee mingine bana hasara tupu! 🚮🚮🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…