Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
 
Nami nilimsikia juzi taarifa ya Habari ITV ,2 usiku,eti mapendekezo yote ambayo yapo against na Katiba,hayatopokelewa..kana kwambq Katiba ni MSAHAFU/ BIBLE..

Aache watu wachangie,kama maoni yana TIJA na yanahitaji tumabadiliko madogo ya Katiba,basi yafanyike..

Sijui wamemlipa KIASI gani?
 
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
Pole sana mkuu kumbe ulikuwa bado hujagundua kuwa yupo kwenye payroll ya lumumba ?
 
Nami nilimsikia juzi taarifa ya Habari ITV ,2 usiku,eti mapendekezo yote ambayo yapo against na Katiba,hayatopokelewa..kana kwambq Katiba ni MSAAFU/ BIBLE..

Aache watu wachangie,kama maoni yana TIJA na yanahitaji kumabadiliko madogo ya Katiba,bac yafanyike..

Sijui wamemlipa KIASI gani?
Yule hana tofauti na Zzk
 
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
Mbona alishadharauliwa kitambo sana huyu !
 
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
I'd like to differ,
View: https://youtu.be/h3TFKlNHV98?si=T_nFTJs7E-Gfw4O2
Huyu Deus Kibamba ni mtu very objective na ni pragmatist ana practice Pragmatism. Being pragmatic ni to do what is possible. Namuunga mkono, miswada hii imeletwa kwa hisani ya Rais Samia, ikiondolewa hakuna guarantee italetwa tena!. Hili na mimi nimelishauri Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.
P
 
Alikuwa na taasisi ya mambo ya katiba na akaiombea ufadhili wa bilions, akazipata, alivyotumia anajua mwenyewe, sisi tunaona mashavu tu yanatuna, kwa nini asiwe mpole kwa CCM? Maana CCM wana kiwashio cha petroli na ushahidi wanao, humuoni alivyopoa?
 
1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena.

2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli?
3. Huyu ni mpuuzi sana being driven by tumbo lake na familia yake!
Ogopa sana mtu anaye ongeaongea sana,mara nyingi ni wanafiki!
Yule ni Eagle house kitambo mbona!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom