Deusdedit Balile adai Ngorongoro hakuna makaburi hivyo Wamasai waondolewe Ngorongoro kuwaepusha kuendelea kuliwa na Wanyama

Tuna waandishi wa Habari wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri nchi hii, ndio maana wengi wamebaki kuwa wapiga kelele na wafanya comedy kwenye vipindi.
Uko sahihi Masai haziki hutupa tu porini sasa anaandika kitu hata asichojua kuhusu hilo kabila huko ngorongoro

Yaani akili hana alitegemea kuona kaburi?
 
Hawa hawalitetei taifa. Wanatetea matumbo yao. Na sidhani kama hilo eneo wanataka tu kulihifadhi. Kuna kitu umma hauambiwi.
 
Tuna waandishi wa habari wa hovyohovyo sana nchini mwetu...mtu kma balile,kitenge,msiba ni watu wenye upungufu wa akili wanamiliki vyeti ya DSJ chuo cha mtaani,unategemea waandike habari yenye manufaa,kitenge ni mjivuni mpka akienda kujisaidia anapiga picha
 
Anatakiwa akamatwe kwa uchochezi
 
Ni makanjanja ndiyo maana yanaishi kwa kuajiriwa na vijana wadogo mababu mazima
 
Subiri aje PendoLyimo na wenzake wakushushue nadhan hii agenda imepewa baraka na uongoz wa juu usiothamin utu wanajal maslah Yao

Chui jike chui jike wewe kwenu Zanzibar tuachie tanganyika yetu tafadhari

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi Masai haziki hutupa tu porini sasa anaandika kitu hats asichojua kuhusu hilo kabila huko ngorongoro

Yaani akili hana alitegemea kuona kaburi?
kwa iyo unaona sawa wanavyotupa maiti porini? Jinga kabisa
 
kwa iyo unaona sawa watu kuacha maiti iliwe na wanyama?
Mkukutana nae mwambie ameonekana mjinga sio na wamasai tuu, hata waliyemtuma wamemdharau maana ameshindwa kuja na hoja ya kuwasaidia
 
Kama kutetea Ngorongoro iendelee kuwa na wanyama ili watalii wengi wake na nchi irate mapato makubwa ili watu wote tupate huduma nzuri ndo kutetea turbo basi acha iwe hivyo
Hawa hawalitetei taifa. Wanatetea matumbo yao. Na sidhani kama hilo eneo wanataka tu kulihifadhi. Kuna kitu umma hauambiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…