Noswerd malila
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 145
- 74
Jack ma angekua kama wewe tusingekua na alibaba, akina facebook wangekua kama wewe tusingekua na fb.nina idea flani ambayo inaweza kukufanya ukawa millionaire zaid ya laizer....now najifunza coding....hii kitu akigundua mzungu itakua balaa nilikua natafuta mtu tufanye sema wabongo hawaaminiki nitatoka kivyangu....
Hahaha mkuu kila mtu anapita kwa njia yake....ni kitu kidogo ambacho duniani wanakikosa ukikitambua wewe ni future billionaire....tatizo waafrika nuksi tu unashangaa ww uliyetoa idea wanakucha kwenye mataa au mtu ananyakua fasta anajimilikisha...Jack ma angekua kama wewe tusingekua na alibaba, akina facebook wangekua kama wewe tusingekua na fb.
Hahaha mkuu kila mtu anapita kwa njia yake....ni kitu kidogo ambacho duniani wanakikosa ukikitambua wewe ni future billionaire....tatizo waafrika nuksi tu unashangaa ww uliyetoa idea wanakucha kwenye mataa au mtu ananyakua fasta anajimilikisha...
Definitely not hicho kitu kiko mbali sana na unakofikiria wewe mkuu.......Una uhakika Silicon Valley hawajaja na idea kama yako..?? Funny
sawa mkuuDefinitely not hicho kitu kiko mbali sana na unakofikiria wewe mkuu.......