Druggist
JF-Expert Member
- Nov 10, 2010
- 439
- 528
Nakaribisha Developers wa Eneo la Familia lililopo Barabara ya CCM Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro.Njoo na proposal.Familia inamilki Eneo na Nia ni Kujenga Trade Centre (Tayari Jengo 1 limekamilka).
Eneo linatazama Lami hivyo developer atajenga na Kupangisha Kwa Miaka Kadhaa Kwa makubaliano kisha Jengo linarejea Mkononi mwa familia.
Familia itachangia Baadhi ya Vifaa vya Ujenzi hasa Mawe, Mchanga na Tofali na pia ulinzi na uangalizi Wakati wote wa Ujenzi.
Karibuni wawekezaji Kwa offer na mazungumzo.
Ahsante