jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,365 Sep 17, 2016 #1 GULO: Bebi simu yako nzuri umepata wapi? DEVI: Nilishinda kwenye mashindano GULO: Mashindano ya nini Bebi? DEVI: Mashindano ya mbio, kati yangu, mwenye simu, polisi na wananchi wenye hasira kali.
GULO: Bebi simu yako nzuri umepata wapi? DEVI: Nilishinda kwenye mashindano GULO: Mashindano ya nini Bebi? DEVI: Mashindano ya mbio, kati yangu, mwenye simu, polisi na wananchi wenye hasira kali.
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,620 Reaction score 5,515 Sep 17, 2016 #2 Ha ha haaaaa,usain bolt hafati moto wa Devi
White party JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 1,035 Reaction score 1,169 Sep 17, 2016 #3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kimange JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,339 Reaction score 1,298 Sep 18, 2016 #4 Hahahaahaah devi is more than genius
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,070 Reaction score 13,511 Sep 18, 2016 #5 Hahaa.
PATIE DE CHRISS JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 460 Reaction score 229 Sep 27, 2016 #6 ππππ