Pre GE2025 Devotha Minja: Miaka mitano inatosha viti maalumu

Pre GE2025 Devotha Minja: Miaka mitano inatosha viti maalumu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati, Devotha Minja amesema ni sahihi kuweka utaratibu wa ukomo wa ubunge na udiwani wa viti maalumu.

Devotha aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalumu amesema inapaswa kila baada ya muda fulani mwanamke ajengewe uwezo kwa kufikia malengo yake.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?


“Tunaamini akipewa miaka mitano ya udiwani au ubunge atakuwa amepata uzoefu na nguvu ya kiuchumi. Kipindi cha miaka mitano kinatosha kabisa,”
 
Back
Top Bottom