Naomba kujua DFP ni nzuri kwa matatizo ya meno? mana ninapata wasiwasi kwa kuwa ile iliyotoka mwanzo kabisa kwenye miaka ya 2004/5 ilikuwa nzuri na iliandikwa ni kinga kwa miaka 20 lakini hii ya sasa imeandikwa tumia kila baada ya miezi 6 so, naombeni ushauri kabla sijaitumia.