DG Mpya wa TCRA, hili la exorbitant prices za vifurushi litakuondoa kama hukulitatua kwa umakini

DG Mpya wa TCRA, hili la exorbitant prices za vifurushi litakuondoa kama hukulitatua kwa umakini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sasa DG mpya usipoyatafutia ufumbuzi utatumbuliwa within no time haya matatizo hapa chini, nawe utatumbuliwa. Ujue kuwa huyu ameondoka kwa matatizo haya chini!

1. Kwa muda mrefu wateja wa simu wamelalamikia wizi wa makampuni ya simu kwa wateja, mara zote James Kilaba umetia pamba kwenye masikio as if "umeongwa" na haya makampuni.

2. Umetoa waraka wa kusitisha gharama mpya za vifurushi, tukapiga kelel kuwa haya makampuni yamedharau wito wako, kama kawaida yako ume-mute as if una jambo nao.

3. hakuna monitotring yoyote ambayo ulikuwa unaifanya kwa haya makampuni kutii sheria /kanuni mlizowawekea.
 
Ukweli ulio mchungu ni kwamba bei aliyotoa Ndugulile lazima ifikiwe,walichokosea ni kwamba wameongeza bei ghafla na ya ajabu ambayo watu hawajaizoea,wameambiwa mpaka ifike 1 July 2021 bei mpya iwe ishafikiwa ,sasa makampuni yatakachofanya ni kupunguza gradually and not abruptly mpaka kufikia july tutakuwa tunanua vile vile 1000 kwa 300MB.

Let's say kama unapata 1GB kwa Tsh 1000 basi next month itakuwa 900MB kwa Tsh 1000(Hapa hautalalamika sana),then watakuja 700MB then 550MB.
 
Ndiyo hii Gepg (Government electronic payment gateway)
Hiyo ni mojawapo ya ubunifu wao ulioiua Max malipo na kuziacha Selcom na wengine wakipumulia mashine. Ila Mama Samia kashauri mifumo ya malipo ipitiwe na ipunguzwe kwani ipo zaidi ya 6.
 
Ukweli ulio mchungu ni kwamba bei aliyotoa Ndugulile lazima ifikiwe,walichokosea ni kwamba wameongeza bei ghafla na ya ajabu ambayo watu hawajaizoea,wameambiwa mpaka ifike 1 July 2021 bei mpya iwe ishafikiwa ,sasa makampuni yatakachofanya ni kupunguza gradually and not abruptly mpaka kufikia july tutakuwa tunanua vile vile 1000 kwa 300MB.

Let's say kama unapata 1GB kwa Tsh 1000 basi next month itakuwa 900MB kwa Tsh 1000(Hapa hautalalamika sana),then watakuja 700MB then 550MB.
They are giving time for users to absorb shock slowly! Lakini hatujui Samia ana mtazamo gani kwa hili. Tuzidi kupiga kelel twita (maana huko anasoma sana) inaweza kusaidia kuzi stopisha
 
They are giving time for users to absorb shock slowly! Lakini hatujui Samia ana mtazamo gani kwa hili. Tuzidi kupiga kelel twita (maana huko anasoma sana) inaweza kusaidia kuzi stopisha

Yes mkuu kelele ndio zitakazosaidia,na hapa ili mama aweze kutuokoa ni kupiga chini Dr Faustine Ndugulile kama alivyomfurusha Eng James Kilaba.
 
Ni pi please nielimishe. Kweli aliisema
Hiyo 6 imegawanyika kwenye makundi makuu 2 yaani taslimu (cash) na isiyo taslimu (non-cash) ambapo isiyo taslimu ndiyo kuna mifumo ya kutumia control numbers kama GePG, piia kuna cheki, POS, kulipa kwa simu (Airtel Money, Halopesa,....) cards.
 
Kigogo anasema huyu wa sasa hana kitu, alikuwa e-gov. e-gov ndiyo nini?
Hapo Kigogo hayupo fair! Jamaa kafanya kazi kubwa sana pale "e-govt" ( kwa usahihi ni eGA)! Hii mifumo yote unayoiona sasa, kuanzia kwenye electronic payment (upande wa serikali) na hadi upatikanaji wa huduma zingine serikalini (pamoja na taasisi zake) kwa njia ya mtandao, hiyo kazi ilitokana na uongozi wa huyu jamaa! Kama sikosei, e-government agency ilianzishwa back 2013 or 2014, na huyu alikuwa ndie CEO wa kwanza. We all know JPM alipoingia tu, alifyeka ma-CEO kadhaa waliokuwa wameteuliwa na JK, lakini huyu alimwacha! Na hadi JPM alipo-transform kutoka E-Government Agency to E-Government Authority, bado alimwacha!
 
Hapo Kigogo hayupo fair! Jamaa kafanya kazi kubwa sana pale e-govt! Hii mifumo yote unayoiona sasa, kuanzia kwenye electronic payment (upande wa serikali) na hadi upatikanaji wa huduma zingine serikalini (pamoja na taasisi zake) kwa njia ya mtandao, hiyo kazi ilitokana na uongozi wa huyu jamaa! Kama sikosei, e-government agency ilianzishwa back 2013 or 2014, na huyu alikuwa ndie CEO wa kwanza. We all know JPM alipoingia tu, alifyeka ma-CEO kadhaa waliokuwa wameteuliwa na JK, lakini huyu alimwacha! Na hadi JPM alipo-transform kutoka E-Government Agency to E-Government Authority, bado alimwacha!
KIGOGO NAMUAMINI BY 50% OR LESS HIVYO iI GUESS YOU RIGHT BY THIS INFORMATION
 
KIGOGO NAMUAMINI BY 50% OR LESS HIVYO iI GUESS YOU RIGHT BY THIS INFORMATION
Kwa hili sina shaka nalo! Anyway, nafahamu yapo ya sirini ambayo mtu huwezi kuapiza kwamba "never" lakini kwa haya mengine, naweza kusema "the guy" is great, na Samia amefanya jambo la maana kumpelekaTCRA kwa sababu pale eGA kazi kubwa imeshafanyika!! Hata hivyo, maelezo yako yapo sahihi, pale eGA alikuwa ana-deal na akina Magu peke yake, huku TCRA atakuwa anakutana na malalamiko ya Wateja na Kampuni zenye nguvu, kwahiyo pale ana kazi kubwa hasa!!
 
Back
Top Bottom