Asee si mchezo!!
true, kuna vitoto vinapokea zaidi hapa dar... halafu mtu amekomalia mshahara wakati kinachotula ni maposho na mapocho-pocho
posho ya mafuta
gari la bure (bila kujali posho ya mafuta)
hausi gelo
vibwengo
nyumba
umeme
maji
gesi
entertainment
matibabu
chakula
etc
hizo ni twice ya mshahara.... na bado kuna kreti 3 za soda, tatu za bia, wine, whiskey, brand, nk kila mwezi kulea wageni
nani kakwambia TRa wanalipa vizuri sana kwa govt? TRA wizi ndo unawafanya waonekane wanalipa sana. ila haya mashirika ya mifuko ya ifadhi zab jamiii ndo yanalipa vizuri, na wafanyakzi wao wana myanya michache mno ya rushwa na wizi, ukilinganisha na TRA! njo NHIF huku unione ninavyo ng'aa ndo kwanza nimeanza kazi na kitengo changu hakina hata chaneli ya kuchakachua pesa bali ni kazi tu, na nakula unono!
Ngoja humba akusikie na Comment zako za kijinga jinga!
20Mil Plus all other benefits
tunataka isawazishe mishahara.Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????