G Gwaje Shabani Member Joined Feb 5, 2017 Posts 15 Reaction score 9 Apr 10, 2017 #1 Habari zenu kwa ujumla, Shida yangu ni kujua bei ya dhahabu, nina pete ya dhahabu gram moja, inauzwaje kwa Sonara?
Habari zenu kwa ujumla, Shida yangu ni kujua bei ya dhahabu, nina pete ya dhahabu gram moja, inauzwaje kwa Sonara?
M mambucha JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 279 Reaction score 160 Apr 10, 2017 #2 Ni kama elfu 89000 to 90000 per lbma
cmases JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 1,763 Reaction score 1,432 Apr 10, 2017 #3 Dhaabu ndio nini?
G Gwaje Shabani Member Joined Feb 5, 2017 Posts 15 Reaction score 9 Apr 10, 2017 Thread starter #4 mambucha said: Ni kama elfu 89000 to 90000 per lbma Click to expand... Shukran sana.. Hiyo Ibma ni nn au nisawa sawa na gram
mambucha said: Ni kama elfu 89000 to 90000 per lbma Click to expand... Shukran sana.. Hiyo Ibma ni nn au nisawa sawa na gram
G Gwaje Shabani Member Joined Feb 5, 2017 Posts 15 Reaction score 9 Apr 10, 2017 Thread starter #5 cmases said: Dhaabu ndio nini? Click to expand... Ni aina Ya Madini ambayo Yanatumika kutengeneza vitu vya Thamani kama Pete, mikufu na kadhalika.
cmases said: Dhaabu ndio nini? Click to expand... Ni aina Ya Madini ambayo Yanatumika kutengeneza vitu vya Thamani kama Pete, mikufu na kadhalika.
ruby garnet JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 2,869 Reaction score 3,852 Apr 10, 2017 #6 dhahabu au gold ni kati ya madini yatokayo kwenye group liitwalo pricous metal(metal za thamani) ambayo wenzake ni silva, platinum na n.k
dhahabu au gold ni kati ya madini yatokayo kwenye group liitwalo pricous metal(metal za thamani) ambayo wenzake ni silva, platinum na n.k
G Gwaje Shabani Member Joined Feb 5, 2017 Posts 15 Reaction score 9 Apr 10, 2017 Thread starter #7 ruby garnet said: dhahabu au gold ni kati ya madini yatokayo kwenye group liitwalo pricous metal(metal za thamani) ambayo wenzake ni silva, platinum na n.k Click to expand... Shukran sana
ruby garnet said: dhahabu au gold ni kati ya madini yatokayo kwenye group liitwalo pricous metal(metal za thamani) ambayo wenzake ni silva, platinum na n.k Click to expand... Shukran sana