Duh kumbe Kenya hawakuwa na machimbo ya Dhahabu ??
Maskini kenya kumbe walikuwa hawana hata mgodi mmoja wa dhahabu? Btw nawatakia kila la heri waweze kufaidika nayo na sio wafanye makosa kama yetu.
Dhahabu ndio inakuza uchumi? mnanchekesha!

Kuna uwezekano mkubwa kuwa kwa kuwa na mgodi huo mmoja, ambao uzalishaji wake si wa juu, Kenya ikauza nje dhahabu nyingi. Uzoefu unaonyesha kuwa ingawa kenya haina tanzanite, lakini takwimu za mauzo ya vito hivyo duniani zinaonyesha kuwa Kenya inauza sana tanzanite. Sitashangaa kama dhahabu ya tanzania ikavushwa mpaka Kenya kimagendo na kisha ikauzwa na kuwanufaisha jirani zetuKampuni ya GoldPlat imefanikiwa kupata mche wa kwanza wa dhahabu (first bar of gold) kutoka katika mgodi wa Kilimapesa, hiyo ndio dhahabu ya kwanza kupatika katika nchi ya Kenya, Sasa hapa ngoja tuone hawa jirani zetu watafaidika vipi na huo mgodi wao, labda inaweza kutusaidia hata sisi Tanzania wenye migodi lukuki ya dhahabu ambayo hatuna faida nayo.
Nawakilisha