Dhahabu

Dedii

Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
76
Reaction score
7
Wakuu, naomba kwa yeyote yule mwenye ufahamu kuhusu biashara ya dhahabu anijuze yafuatayo 1. gold iiko na makundi mangap zinatoka wp na wp hapj tz na ipi iko juu kwa bei? 2. sabbu ya bei kupanda na kushuka 3. namna ya kujua bei niipate wapi yA kila cku? 4. masoko ya ndan ya tz na nje... nikipata link zake itakuwa bora. 5. nn cha kuzingatia nikitaka kununu au kuuza ... 6. ni document gan huitajika kufanya biashara ya dhahabu ndan na nje ya tz? kwa ufupi nimetembelea sehemu za machimbo nikahamasika kuifahamu kwa uzuri
 
Upande wangu sina jibu la moja kwa moja, jaribu kwenda hapo wizara ya Nishati na Madini nadhani watakupa details za kutosha.
 
umeniwahi Dedii,hopefuly tutapata majibu kutoka kwa wapendwa hapa.
NB:kuwa makini utapeli ktk issue hizi ni mwingi.
 
mwenye majibu yako yooote ni Naushad Mohammed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…