"DHAIFU" ni neno la kawaida. Hata Maandiko Matakatifu yanalitambua.

"DHAIFU" ni neno la kawaida. Hata Maandiko Matakatifu yanalitambua.

Trust None

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
1,260
Reaction score
4,419
Suuratul An-nisaai 28
Screenshot_20190417-184632.png

Mwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu.

Zaburi 56:4
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
 
We need strong INSTUTION,and not
SUPER man like ndungai.ndio maana wamarekan pamoja na kumchagua Trump lkn bado they are doing better b'se wanastrong instution amabayo haichezewi na mtu.
 
Kazi Ndugai kaonyesha Udhaifu mkubwa sana kama Kiongozi.

Kuna mahali mambo hayako sawa.
 
Ni udhaifu kumjadili mtu dhaifu ambaye hajitambui kwamba yeye ni dhaifu
 
Back
Top Bottom