Dhamana bodaboda 5, je inawezekana?

majosa jr

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
58
Reaction score
14
wanajamvi nina bodaboda 5, ila nataka kukopa pesa bank au taasisi ya fedha yoyote dhamana izo boda, wapi na inawezekana
 
wanajamvi nina bodaboda 5, ila nataka kukopa pesa bank au taasisi ya fedha yoyote dhamana izo boda, wapi na inawezekana

hizo hela unataka kwa ajili ya nini?
Kama ni biashara ..vp kuhusu hizo bodaboda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…