Dhamana inarudishwa?

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Ile pesa unayomwekea ndugu ama rafiki kama dhamana polisi huwa inarudishwa au ndio imeenda?
 
dhamana ni mali kauli,hautakiwi kutoa keshi ila poti wanaimpromvize
 
Yaliwahi kunikuta mahakama ya city niliwekewa dhamana ya tsh,50,000 baada ya kutoka nikamfuata askari mmoja pale nikamuuliza ivi kunauwezekano wa hiipesa kija kurudi?akaniambia iyo ndio ishaliwa tena ikimbie usije tena ukaonekana hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…