Dhamana ni Haki ya kila Mtu

Dhamana ni Haki ya kila Mtu

Joined
Aug 5, 2019
Posts
64
Reaction score
93
Kwanini tuna makosa ambayo hayastahili dhamana Tanzania?,wakati upande wa mashtaka una uwezo wa kuishawishi mahakama kwamba huyu mshtakiwa asipewe dhamana kwasababu ya jambo hili,hili na hili. Kwanini tunatesa watu kwa kimvuli hiki cha lazima kwamba mtu ni lazima awekwe ndani tena bila dhamana?
Mnajua kwamba Wazanzibari kule kwenye mfumo wa mahakama zao hakuna kosa ambalo halina dhamana ila hapa kwetu bara imeshakuwa mchezo kwamba tunafanya hivi ilimradi tu usitoke nje.
#FreeErickKabendera
 
Back
Top Bottom