Dhamana ninayo,nahitaji mkopo

d zamani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
438
Reaction score
636
Salaam wadau, ninayo dhamana na wazo la biashara lakini kutokana na mfumo wetu wa kibenki hawakopeshi biashara mpya(start up),ndio maana nimekuja hapa. Nahitaji mkopo wa tshs m 100-150,na zamana yangu ina thamani si chini ya 300m,sio lazima uwe na iyo cash,unaweza ukawa na financial statement ambayo inaweza kusecure icho kiasi tukafanya mazungumzo tuone tunaweza vipi kwenda mbele,na kwa wale ambao mnataka kudiversify portfolio zenu za biashara mnakaribishwa kwa joint venture.contacts mjasiriamalidzamani@hotmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…