Waungwana, nadhani hukumu ya jana ya Court of Appeal kuhusu dhamana ya Lema ni muhimu katika mustakabali wa dhamana katika historia ya nchi yetu baada ya uhuru. Ni vizuri kama kuna mwenye hukumu hiyo akaiweka humu, jamii ya kisomi na hata isiyokuwa ya kisomi ikaisoma na kuielewa kwa mustakabali wa kesho.